Klabu inayocheza ligi ya daraja la pili Uingereza, Middlesbrough, iliishangaza Manchester United, inayocheza ligi kuu nchini humo, baada ya kuwafunga 7-8 kupitia mikwaju ya penalti na kusonga awamu ya nne.
Katika mechi hiyo ugani Old Trafford (nyumbani kwa Man-Utd) Ijumaa usiku, Jardin Sancho aliwapa wenyeji bao la uongozi. Kunako kipindi cha pili, Middlesbrough walirejesha bao dakika ya 64 kupitia Matta Crooks na kufanya muda wa kawaida kuishia 1-1.
FA Cup inaendelea leo ifuatavyo:
- Chelsea vs Plymouth-15:30pm
- C. Palace vs Itartlipool-18:00pm
- Everton vs Brentford-18:00pm
- Kid’minister vs Westham-18:00pm
- Hundersfield vs Barnsley-18:00pm
- Manchester City vs Fulham-18:00pm
- Southampton vs Coventry-18:00pm
- Stoke City vs Wigan-18:00pm
- Cambridge vs Luton-18:00pm
- Tottenham Hotspurs vs Brighton-18:00pm
- So Peterborough vs QPR-18:00pm
Tom Lutali is a seasoned scribe based in Lugari Sub-County in Kakamega County who writes human interest stories and sports for WKT.