FIFA yaamrisha marudio ya mechi kati ya Senegal na Misri
Mchezaji Salah akimulikwa usoni na kurunzi kali wakati akipiga penalti dhidi ya Misri [Picha-Hisani]

FIFA yaamrisha marudio ya mechi kati ya Senegal na Misri

Mechi ya awali ilikumbwa na mzozo wa ubaguzi wa rangi

Kamati kuu ya FIFA ya kusuluhusha mizozo imeamrisha mechi kati ya Senegal na Misri kurudiwa.

Hiio ni baada ya shirika la linalosimamia soka nchini Misri la Egyptian Football Association (EFA) kukata rufaa na kusema timu yake na wachezaji wake walibaguliwa kwa misingi ya kirangi.

Katika tamko ambalo lilitolewa Jumanne, EFA ilisema timu yake pamoja na wachezaji wake walibaguliwa kwa misingi ya rangi kwaa kutumia mabango yaliyokuwa kote uwanjani hasa kwa mchezaji Mohammed Salah.

Jumanne usiku, wajukuu wa Pharaoh walipoteza 3-1 na Senegal kupitia mikwaju ya penalti na kujikatia tiketi ya kufuzu kombe la dunia nchini Qatar 2022.

Share this article

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *