Magazetini: SK Macharia, Ngilu kuongoza kampeni za Raila

Magazetini: SK Macharia, Ngilu kuongoza kampeni za Raila

Magazeti ya Ijumaa, Januari 7, yameangazia mswada wa vyma vya kisiasa ambao sasa utajadiliwa na Bunge la Seneti baada ya kupitishwa na lile la Kitaifa.

Thank you for trusting in our news.

Mswada huo unaleta mageuzi makuu katika kuundwa kwa miungano ya kisiasa humu nchini na unaonekana kama mojawapo wa mikakati ya kumwezesha kinara wa ODM kuwika katika uchaguzi wa mwaka huu.

People Daily

Gazeti hili limechambua wanachama wa bodi ya kampeni ya Raila Odinga na kazi yao ya kuhakikisha kuwa anaingia Ikulu.

Raila amewachagua wafanyibiashara na wataalamu katika sekta mbalimbali pamoja na wanasiasa kuongoza kampeni zake.

Kulingana na gazeti hili, hatua hiyo ni ili kuhakikisha kuwa kampeni za Raila zitahusu masuala mazito, kama vile uchumi.

Wanachama wa bodi hiyo wanaongozwa na Gavana Nderitu Muriithi na wengine ni mfanyabiashara SK Macharia, Gavana Charity Ngilu, msomi Makau Mutua, Gavana Anyang Nyong’o.

Daily Nation

Nation imeangazia taarifa kuhusu kisanga kilichoshuhudiwa katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta kilichomhusisha Mbunge wa Kapseret Oscar Sudi.

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *