
Musician Mae of West/WKT
Stanza 1
Mapenzi ya kwangu ni yako
Siwezi danganya naficha
Mpenzi ni mimi na wewe hadi kifoo, oh
Hamu ya penzi ii kwako
Mahaba yamba hii raha
Mpenzi unipende maanake mimi wakoo, oh
Pre chorus
Kila napokuona me hu-feel alright
Beb come close niku-touch so tight
Usiwe na hofu wala uslide back
Mapenzi ya kwangu ni yako uooo, mmm
Beb hebu njoo tucheze wote
Wimbo huu ni wako a dedication
Zungusha kiuno nipakawe
Napenda hizo hips za kwako uooo, mmm
Chorus
Sijui niseme nakupendaaa, we ndo wangu, my darling, my sweetheart, mimi naweeee…
Napenda tuimbe wimbo soteee, kila day. Kila time, singing love, nahuyansaaaa…
Stanza 2
Sikatai si hugombana
Lakini hatutengani
Labda tuliumbwa ili tuwe woteee, mmm
Mawazo ii sehemu ya penzi
Yasifanye tuje tengana
Believe nikisema mi wako hadi kifooo. Mmm
(Pre chorus)
(Chorus)
Bridge
Sijui niseme nini baby… (Ooh, Darling)
Sijui niseme nombendete… (Oh my darling)
Kwa lako pendo ninang’ara… (ooh, Baby)
Napenda tuimbe wimbo sote (Darling, Darling)
(Pre chorus)
(Chorus)
Songwriter: Maelo Morgan aka Mae of West @2022
Email: mrgnmaelo@abraham60otienogmail-com
YouTube link: Mae Wa West
Search song on Audiomac

Thanks for choosing WKT. Advertise with us for affordable offers.